Search This Blog

Wednesday, December 18, 2019

Serikali yamesema hakuna sababu ya Mkoa wa Morogoro kuwa na tatizo la maji


Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso amesema hakuna sababu ya Mkoa wa Morogoro kuwa na tatizo la maji kutokana na kuwepo na vyanzo vingi vya maji vyenye kutosheleza kutoa huduma ya majisafi na salama katika mkoa huo.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...