Search This Blog

Sunday, December 1, 2019

Rayvanny Afunguka Kuhusu Tuhuma za Kuiba Wimbo wa Naogopa “Huyo Msanii Ntamfunga” – Video


Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka leboya WCB Rayvanny amefunguka kuhusu tuhuma za kuiba wimbo wake mpya wa ‘NAOGOPA’

Akiongea na Bongo5 Rayvanny ameiomba serikali kuingilia kati lakini pia akisema endapo huyu msanii ataendelea kulalamika basi yeye ataenda kwenye vyombo vya dola maana ushahidi wote kuwa huo wimbo ni wa kwake anao:-




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...