Search This Blog

Tuesday, December 24, 2019

NOMA na Nusu...Abiria Wakwama Mlima Kitonga kwa Saa 2


Abiria wanaolekea Mkoa wa Iringa na baadhi ya Mikoa ya jirani wamekwama katika barabara ya Mlima Kitonga kufuatia Lori kupata ajali ya katikati ya barabara hiyo na kupelekea magari kushindwa kusafiri.

Akizungumza na EATV na EA Radio Digital moja ya shuhuda wa ajali Habib Hanta amesema ajali hiyo imetrokea majira ya saa 8 Mchana, na kupelekea na kupelekea adha kubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo.

Aidha amesema mpaka sasa juhudi za kuliondoa Lori hilo ili waanz kupita bado zinaedelea.

Bado tunaendelea kufanya juhudi za kumtafuta RPC wa Mkoa wa Iringa Juma Bwire kwa ajili ya kuzungumzia suala hilo.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...