Search This Blog
Wednesday, December 11, 2019
Napoli Yamtimua Kocha Ancelotti Kabla ya Kumvaa Mbwana Samatta na Kumchapa 4
KLABU ya soka ya Napoli ya Italia imemfukuza kazi kocha wao Carlo Ancelotti ikiwa ni chini ya masaa matatu baada ya kuiongoza timu hiyo kuingia hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Ancelotti ameiongoza Napoli kwa miezi 19, kabla ya kushinda mechi ya jana 4 – 0 dhidi ya Genk ya Ubelgiji, walikuwa wamecheza mechi tisa zilizopita bila ya kushinda kwenye mashindano yote.
Mwezi uliopita aliingia kwenye mgogoro na Rais wa Napoli baada ya kukataa kuwa na kambi ya mazoezi ya muda mrefu na Wachezaji.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment