Search This Blog

Sunday, December 22, 2019

Mtoto Mwenye Ugonjwa wa Kuzeeka Adaiwa Atakufa Akifikisha Miaka 13


Mtoto Adalia Rose wa nchini Marekani anasumbuliwa na ugonjwa wa progeria ambao unamfanya mtu kuzeeka kabla ya umri wake. Madaktari wamesema mtoto huyo anaweza akafariki akitimiza miaka 13, mpaka sasa ana miaka 12. Kutokana na hilo, Adalia amekuwa akiishi maisha yake akiwa na furaha kwa msaada wa wazazi wake, akisema anataka kufurahi muda wake aliokuwa nao hapa duniani.

Comment chochote kisha share na wana


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...