Search This Blog

Sunday, December 22, 2019

Mnyika Aanza “IGP Sirro Aseme Ukweli “Tito Magoti Hajulikani Alipo, Ametekwa”

Baada ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Taifa leo December 22, 2019 John Mnyika amezungumza na Waandishi wa habari “Kumetokea matukio ya baadhi ya watu kupotea, ametekwa Tito Magoti baadae Polisi wakasema wanamshikilia, mpaka navyozungumza muda huu Polisi hawajasema wanamshikilia kwa kosa gani, natoa wito kwa Polisi, IGP aseme ukweli”.

VIDEO:



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...