Search This Blog

Friday, December 27, 2019

Miraji Athumani na Haruna Shamte wafanyiwa 'kitu mbaya' siku yao ya kuzaliwa (+Video)


Hapo jana wachezaji wa Simba SC Miraji Athumani na Haruna Shamte walikuwa wakisherehekea miaka kadhaa ya kuzaliwa kwao.

Mara baada ya mazoezi ya hapo jioni wachezaji wenzao wakajumuika nao katika siku hiyo yao muhimu kwa kuwamwagia maji.

Tazama video hapa chini




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...