Search This Blog

Monday, December 9, 2019

Huyu Ndio Mwanamke Anayeshikilia Rekodi ya Dunia Kwa Kuwa na Kiuno Chembamba

Fahamu: Pichani Cathie Jung(82) Kutoka Marekani ndie anashikilia rekodi ya dunia kwa kuwa mwanamke aliye hai mwenye kiuno chembamba zaidi. Sivyo alivyozaliwa bali alianza kuvaa corset mwaka 1959 hata kabla hajaolewa, baadaye akaja kuolewa Na daktari wa binadamu kwa jina la Bob na wamezaa watoto watatu. -

Tangu 1993 Cathie huvaa corset masaa 24 kila siku isipokuwa anapoenda tu kuoga ndio huivua. Mumewe huyo enzi hizo kabla hawajafunga ndoa ndie alitoa pendekezo Cathie awe na kiuno chembamba kwani anapenda wanawake wenye kiuno nyigu

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...