Search This Blog

Thursday, December 19, 2019

CHADEMA yamteua John Mnyika kuwa Katibu Mkuu Taifa


Mbunge wa Kibamba, John Mnyika ameteuliwa kuwa Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Viongozi wapya wa Wakuu wa CHADEMA 2019 - 2024

1. Mwenyekiti - Freeman Mbowe
2. Makamu Mwenyekiti Zanzibar - Said Issa Mohamed
3. Makamu Mwenyekiti Bara - Tundu A.Lissu
4. Katibu Mkuu - John John Mnyika
5. Naibu Katibu Mkuu Bara - Benson S. Kigaila
6. Naibu Katibu Mkuu Zanzibar - Salum Mwalim

Wajumbe wa Kamati Kuu Taifa

1. John W. Heche
2. Sarah Katanga
3. Gibson Meseiyeki
4. Michael Ahombokile Mwaitenda
5. Patrick Ole Sosopi
6. Grace .S. Kiwelu
7. Suzan L. Kiwanga
8. Yahaya Omary
9. Zeud A. Mvano



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...