Search This Blog

Sunday, December 15, 2019

CECAFA Senior Challenge Yafikia Patamu


Baada ya kuhitimisha hatua ya makundi na kubaki wababe wanne, michuano ya CECAFA Senior Challenge inaingia hatua ya nusu fainali.

Timu mbili zitakazocheza fainali ya mwaka huu zitafahamika Jumanne, Desemba 17, 2019.

Mechi ya kwanza ni mabingwa watetezi, Kenya dhidi ya Eritrea na mechi ya pili ni kipute cha wenyeji Uganda dhidi ya Tanzania Bara.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...