Search This Blog
Tuesday, December 3, 2019
Akamatwa na Kilo 1.73 za dawa za kulevya akiwa amezimeza
Jumla ya kilo 1.73 ya dawa za kulevya, zikiwa katika vidonge 94, viliondolewa kutoka tumbo la raia wa Nigeria ambaye alikamatwa katika uwanja wa ndege wa Casablanca.
Raia huyo mwenye umri wa miaka 44, alikamatwa alipofika kwenye Uwanja wa ndege wa Casablanca Mohammed V mnamo Novemba 25, kwa ndege kutoka Sao Paulo nchini Brazil.
Dawa hizo ambazo zimepigwa marufuku nchini umo,zilitolewa kutoka tumbo lake katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Ibn Rochd, ambapo alikaa siku kadhaa chini ya uchunguzi wa matibabu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment