Search This Blog

Friday, November 8, 2019

WCB Wahaha Kutumia Waganga Kukata Mvua isinyeshe Wasafi Festival Dar (Video)


Meneja huyo wa Diamond ameyasema hayo wiki hii wakati akizungumzia kilio chao kwa serikali juu ya ujenzi wa ukumbi mkubwa wa burudani Tanzania.

Hizo zilikuwa ni shamra shamra za maandalizi ya tamasha za Wasafi Festivals ambalo linatarajia kufanyika Jumamosi hii katika viwanja vya Posta Kijitonyama.

VIDEO:



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...