Search This Blog

Saturday, November 23, 2019

'Wanatengeneza Vitu vya Kuniharibia' - Bright

 
Baada ya kuwepo kwa madai kuwa msanii Bright hana nidhamu na sio mtu wa ahadi za kweli, kupitia Friday Night Live, Bright ameeleza kuwa stori hizo zote ni uongo tu lengo likiwa ni kumchafua.


Bright amejibu hilo baada ya kuulizwa juu ya watu wawili ambao wameshalalamika kwenye vyombo vya habari kutofautiana naye kikazi.

'Sio kweli ni watu tu wanajaribu kuniharibia bila kujua nimehangaika vipi kuijenga Brand ya Bright ambaye amewekeza muda mrefu', amesema.

Pia amesema wote wanaolalamika ni wale wanaokwenda kwake kwa kulalamika na hawana hela ya kumlipa kufanya naye kazi lakini anapokuwa hajawapa ushirikiano wao wanachukulia binafsi.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...