Search This Blog

Saturday, November 23, 2019

VIDEO: Kocha wa Simba awapiga dongo waliodai katimuliwa/ Afunguka mechi ya Ruvu Shooting


Kocha wa klabu ya soka ya Simba SC, Patrick Aussems amewapiga dogo watu ambao walieneza tarifa za kuwa ametimuliwa na kwenye mechi ya leo dhidi ya Ruvu Shooting hatakuwepo kwenye benchi. Pia amefunguka kuhusu mechi hiyo waliocheza na kuibuka na ushindi wa mabao 3-0.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...