Search This Blog

Tuesday, November 26, 2019

Ndege Yapigwa Radi Ikiwa Angani...Marubani Wapambana Mpaka Kuishusha


ZAMBIA: Ndege ya Proflight ikiwa na abiria 41 jana ilifanikiwa kutua salama jijini Lusaka baada kupigwa na radi na kukumbana na upepo mkali ikiwa angani (19,000ft), ilipokuwa ikitokea Livingstone. Marubani wa ndege hiyo wamepongezwa kwa kuokoa maisha ya abiria.





No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...