Meneja Miradi ya Jamii (usafi wa mazingira) Bw Charles Makoye akitoa maelezo kwa Maafisa Afya wa Manispaa za Jiji la Dar es Salaam walipotembelea Mradi ya Jamii ya Majitaka katika eneo la Vingunguti na Toangoma wilayani Temeke.Miradi hii imesaidia kupunguza magonjwa ya mlipuko na kujenga ustawi wa maisha ya wakazi wa maeneo tajwa.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...



No comments:
Post a Comment