Search This Blog
Sunday, November 3, 2019
Mfuga Chatu Maarufu Auawa na Chatu Wake
Mwanamke mmoja aliyekuwa maarufu duniani kwa kufuga nyoka na chatu, Laura Hurst (36) raia wa Indiana, Marekani, amekutwa ameuawa na chatu mwenye urefu wa futi 8.
Maofisa wa Polisi wamesema kuwa ndani ya nyumba yake wamekuta nyoka wengine 140.
Wameeleza kuwa walipigiwa simu ya dharula 911, majira ya usiku nakuelezwa kuna mwanamke ambaye amevilingishwa na chatu wa futi nane shingoni katika eneo la Indiana.
Usiyoyajua juu ya ufugaji Ndevu
Mtaalamu wa afya alivyofika katika nyumba hiyo alimpima na kujaribu kumpa huduma ya kwanza lakini haikuzaa matunda, Laura alipoteza maisha.
Nyoka hao wamefugwa eneo maalumu ambao jumla wapo 140 huku marehemu Laura alikuwa anamiliki nyuka 20 na waliobaki ni wa mwenzake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment