Search This Blog

Wednesday, November 6, 2019

Mchezaji wa pili kufunga 'hat-trick' Ligi Kuu msimu huu, huyu hapa


Mchezaji wa Lipuli FC Daruwesh Saliboko ni mchezaji wa pili kufunga 'hat-trick' msimu huu baada ya Ditram Nchimbi.

Pichani Saliboko yuko na mpira wake baada ya mechi ya leo alipofunga matatu katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Singida United. Mabao mengine mawili yamefungwa na Paul Nonga.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...