Search This Blog
Tuesday, November 5, 2019
Harmonize Asogeza Mbele Tamasha Lake Lililotarajiwa Kufanyika Shinyanga Mwezi huu
NI Headlines za msanii wa Bongo Fleva, Harmonize ambae leo Novemba 6, 2019 kupita mtandao wake wa instagram ameutaarifu umma juu ya kusogeza mbele tamasha lake lililotarajiwa kufanyika tarehe 9 wiki hii mkoani Shinyanga
Na Badala yake tamasha hilo litafanyika tarehe 14/12/2019 katika uwanja wa Kambarange, staa huyo ametoa taarifa hiyo kwa kuandika hivi na Nukuu
‘Kutokana Na demand ya #UNOLIVE kuwa Kubwa hatutofanya Shinyanga peke yake siku ya tarehe 9/11/2019 Kama tulivyokuwa tumepanga mwanzo….!!!!!’– Harmonize
‘Bali tumepeleka mbele mpaka tarehe 14/12/2019 Shinyanga uwanja wa kambarange kisha tutafumua Kahama & Mwanza Week Hiyo hiyo Moja soon nawapa tarehe wanangu wa Kahama’- Harmonize
‘Kwahiyo Mwambie Mwenzio Kua Oda Toka Jeshini Inasema #Jeshi Hatohudhuria Tarehe 9/11/2019 Zichange Tukutane Tarehe 14/ #Shinyanga #Kahama – Harmonize
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...


No comments:
Post a Comment