Search This Blog
Friday, November 1, 2019
Aliyekuwa MISS Gambia Amtuhumu Aliyekuwa RAIS wa Nchi Hiyo Kumbaka
Akiwa mbele ya Kamisheni ya Maridhiano baada ya utawala wa Jammeh kuanguka amesema pia alilazimishwa kumkataa mchumba wake na ahadi ya kuolewa
Yahya Jammeh alishindwa katika Uchaguzi Mkuu lakini alikataa kutoka madarakani hadi Mataifa ya Afrika Magharibi yaliingilia kati na Jammeh kutorokea Guinea Ya Ikweta
Yahya Jammeh aliikimbia nchi hiyo, Januari 2017 ikiwa ni baada ya kukaa madarakani tangu mwaka 1994
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment