wazee wa manispaa ya morogoro wameiomba serikali kukamilisha zoezi la kuwaandikisha na kuwapa kadi za bima ya afya zitakazowawezesha kupata huduma za afya ili kufikia malengo ya serikali ya matibabu bure kwa wazee.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAHU KU SUBSCRBE

No comments:
Post a Comment