KUMBE siyo Zari tu anayeogopa nyakunyaku! Hebu msikie staa wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya, naye anasema ni jambo la hatari mno kumuanika bwana’ke mpya kwani anahofia nyakunyaku watamnyakua.
Uwoya ameliambia Gazeti la Ijumaa Wikienda kuwa, mtu akimposti mwanaume wake anakuwa na wasiwasi kwamba atachukuliwa hivyo ili kukwepa presha zisizokuwa za lazima ni bora wasimjue badala yake wabaki kumsikia tu.
“Sithubutu kumwanika, nimejifunza kutokana na makosa hivyo wabaki tu kusikia ni yule au yule maana nyakunyaku wa mtandaoni hawana dogo,” amesema Uwoya ambaye mpaka sasa haijajulikana kama Oktoba 26, mwaka huu ni harusi yake au la.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment