Search This Blog

Friday, October 25, 2019

TIMU ya Pyramids FC Wawasili Jijini Mwanza Kupambana na Yanga


Picha mbili zikionesha namna Pyramids FC walivyotua jijini Mwanza leo kwa ajili ya mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Yanga.

Mechi hiyo itachezwa Jumapili ya Oktoba 27 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...