Search This Blog
Wednesday, October 2, 2019
Serikali yataka wamiliki wa viwanda kuboresha utendaji wao
Na Rahel Nyabali, Tabora
Waziri Viwanda, Innocent Bashungwa amefanya ziara mkoani Tabora kukagua maendeleo ya viwanda vilivyopo wilayani Tabora ambapo ameonesha kutoridhishwa na uendeshwaji pamoja na uzalishaji wakiwanda cha Nyuzi TABOTEX.
Akiwa katika kiwanda cha nyuzi Waziri Bashungwa na kujionea uzalishaji katika kiwanda hicho ambacho kilibinafsishwa kwa muwekezaji katika familia ya Rajantangumwaka 2004 kutoka mikono ya Serikali kikiwa na uwezo wa kuajiri wafanyakazi zaidi ya miambili ambapo uzalishaji wa nyuzi ulikuwa ni wastaniwa tan elfutatu namiasita kwa mwaka amesema uendeshwaji wa kiwanda hicho nikinyume na matalajiyo ya serikali.
Emmanuel Mwakasaka ni Mbunge wa Jimbo la Tabora mjini amesema kiwanda hicho kama kingeenda nakasi ya awamu ya tano kingekuwa kwenye hatuanzuri.
Aidha Kufuatia halihiyo waziri bashungwa amekitaka kiwanda hicho kuendana na kasi ya awamu ya tano ya selikali ya viwanda hatahivyo ametembelea kiwanda cha mazao ya misituTabora pamoja na kiwanda cha maziwa ambapo akiwa katika kiwanda cha maziwa ameagiza shirika la kuhudumia viwanda vidogo SIDO kuwaunganisha wawekezajiwa dogo na kampuni kubwa ili waweze kuimari kazaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...


No comments:
Post a Comment