Search This Blog

Sunday, October 13, 2019

Rayvanny Amjibu Harmonize...Atupia Picha Akiwa na Mwanamuziki Mr Flavour

Baada ya Harmonize kupost picha akiwa na Mwanamuziki Wizkid kitu ambacho kinaonesha kuna kazi mpya inakuja ...Rayvanny msanii wa Bongo Fleva kutoka WCB nae ametupia picha akiwa na Mr Flavour nchini Canada....Unaambiwa ni mwendo wa kujibishana tu

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...