Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amemmwagia sifa Waziei mkuu Kassim Majariwa kuwa amekuwa msaada mkubwa kwake kwani anamsaidia sana kazi na amemuahidi kumuacha katika ngazi hiyo.
“Waziri Mkuu Hongera sana unanisaidia sana kazi, wengine wanaweza sema nakupa kichwa ila ukweli ni huo na una kichwa kizuri, unafanya napumzika nikikutuma sehemu unafanya kazi, kwahiyo wanaochonga wachonge sana wanaonuna wanune ila sikutoi utaendelea kuwa Waziri Mkuu”-JPM
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment