Search This Blog
Wednesday, October 9, 2019
Rais Magufuli atembelea Hifadhi ya Taifa ya Katavi
Rais Magufuli ameonyesha kwa vitendo maana ya utalii wa ndani kwa kutembelea hifadhi ya taifa ya Katavi.
Alipata pia wasaa wa kuzungumza na wahifadhi na kuwasisitiza umuhimu wa kutunza maliasili za taifa.
“Wapo wenzenu wachache wanaoshirikiana na majambazi, waache na wakipatikana wa namna hiyo, peleka mahakamani wafunguliwe kesi ya uhujumu uchumi," amesema Rais Magufuli.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...


No comments:
Post a Comment