Search This Blog
Monday, October 14, 2019
PSG kumkosa Neymar kwa wiki nne
Klabu ya Paris Saint German (PSG) imethibitisha kuwa Neymar atakuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki nne kufuatia kupata maumivu ya nyama za paja.
PSG wanatarajia kumkosa Neymar katika michezo yote miwili ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Club Brugge.
Ikumbukwe mchezaji huyo alipata majeraha hayo katika mechi ya kirafiki ya Brazil dhidi ya Nigeria Oktoba 13 mwaka huu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment