Search This Blog

Wednesday, October 9, 2019

Picha: Dk. Shein azungumza na Wazee wa CCM

Wazee wa Wilaya ya Chakechake Pemba wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia katika ukumbi wa mkutano wa ZSTC Makonyo, wakati wa ziara yake Kisiwani Pemba na kuzungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya hiyo 






No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...