Search This Blog

Wednesday, October 2, 2019

Msajili wa vyama vya Siasa awalima baruda CHADEMA


Msajili wa Vyama vya Siasa amekiandikia Chama cha CHADEMA barua ya kukitaka kijieleze haraka kwa nini kisichukuliwe hatua kali kutokana na kukiuka Katiba ya CHADEMA.

Msajili amefikia hatua hiyo baada ya viongozi Wakuu wa CHADEMA kuendelea kuwa viongozi wakati uongozi wao ulitakiwa ukome tarehe 14 Septemba 2019 kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA Ibara ya 6.6.3 inayochagizwa na Ibara ya 6.3.2(a) inayosema kila kiongozi wa CHADEMA atakaa madarakani kwa muda wa miaka 5.

Msajili amekitaka CHADEMA kitoe sababu zenye mashiko kwa nini kisichukulie hatua kali kwa mujibu wa kifungu cha 4(5) cha Sheria ya Vyama vya Siasa Sura ya 258.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...