Search This Blog

Thursday, October 3, 2019

Mkurugenzi Suma JKT: Mchezaji atakayeifunga goli Simba, Yanga nitampa laki 5 katika mshahara wangu


Mkurugenzi Mtendaji wa SUMA JKT, Kanali Rajabu Mabele ameupongeza uongozi mpya wa klabu ya JKT Tanzania uliyochaguliwa wikili iliyopita nakuwataka kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri zaidi katika ligi kuu soka Tanzania Bara.

Katika mazungumzo yake wakati uongozi huo mpya ukikabidhiwa nyaraka za ofisi, Kanali Mabele amewahimiza wachezaji kuongeza juhudi huku akiwaahidi kwa mchezaji yoyote atakayefanikiwa kufunga goli wakati timu hiyo ikiwa inacheza na moja klabu kubwa nchini iwe Simba, Yanga ama Azam basi atampatia zawadi ya Tsh laki 5.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...