Search This Blog

Friday, October 18, 2019

MJUE DJ Mack Acheche Anayetafsiri Muvi za Kizungu, Kikorea na Kichina / Apiga Pesa Ndefu Kupitia Kazi Hiyo


Tumekutana na Dj Mack anayejishughulisha na kutafsiri Filamu mbalimbali zilizokatika Lugha za kigeni na kuziweka katika lugha ya kiswahili. Ameweka wazi vitu faida anayopata kupitia kazi hiyo. Pia amesema ameshawahi kuwauzia kazi mastaa mbalimbali Kama vile Barnaba, Rayvanny na wengine wengi.

VIDEO:



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...