Search This Blog

Wednesday, October 16, 2019

Magufuli Alipuka Kwa Hasira Kali Mno "Wanadanganya nini Hawa Vilaza Wakubwa, Unataka Wanywe Mkojo Wako! Feasibility Study Miezi 6? " Wadau Wampongeza


Haya hapa ni baadhi ya maoni ya wadau baada ya kutazama Video Hiyo Hapo Chini...Kweli Tanzania Tumepata Rais


Maoni:
Danford Mwangesile
5 hours ago
Utamdanganyaje mwalimu mwenye uhakika na kazi yake 2+2= 8 wapi na wapi. Magufuli atabaki kuwa juu zaidi kwa kweli Mungu aendelee kumlinda kila iitwapo leo



  • Diamond Brand

5 hours ago
Mzee huchukii kwa ubinafsi. Unachukia kwaajili ya watanzania. Sitoamini kama kuna mtu hakubali hasira zako.


Boniface Mohono
5 hours ago
Yaani huyu raisi mpk nimelia  kwa furaha Mungu mkuu nifute machozi kwa kumlinda huyu mtumishi wako dhidi ya maadui na maharamia wasiopenda maendleo tuko mbele yako kulinda


Henry Stanley
4 hours ago
ulitaka wanywe mkojo wake....πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Kwa kweli hapa mzee yuko sawa... enginear kazi hana...nimemsikia waziri akisema "tunamuondoa"


malugu kushaha
3 hours ago
Nimejisikia mwenye furaha kupata Rais kama huyu. Hakika mi nakuombea kwa mwenyezi mungu akujalie afya njema Rais wetu Magufuli.


Tazama VIDEO




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...