Search This Blog
Tuesday, October 22, 2019
Kenya yamaliza wa tatu Afrika Michuano ya Mabingwa wa Dunia wa Drafti
Mchezaji wa drafti wa Kenya Allan Oyende ameshinda mechi 20 kati ya 32 na kuongoza timu ya taifa ya mchezo wa drafti kumaliza katika nafasi nzuri zaidi ndani ya miaka 10 iliyopita, ambapo Kenya imewekwa nafasi ya tatu Afrika kwa mabingwa wa Shirikisho la wacheza Drafti Duniani wanaoongea Kingereza (WESPAC) huko Goa, India.
Oyende, aliyeshinda mashindano ya Mabingwa wa Drafti ya Nairobi, amemshinda Mnigeria Emmanuel Umujose 631-404 na Jesse Day wa Marekani mara tatu mfululizo na kuongoza msimamo wa dunia katika wikiendi hii.
Hata hivyo, kushindwa mara saba mfululizo katika siku ya pili kukamfanya mchezaji huyo wa Klabu ya Stima kushuka hadi nafasi ya tano kwenye msimamo na baadaye kumaliza akiwa nafasi ya 17 duniani kwa kuwa na pointi 286, akiwa juu kwa nafasi 4 ya bingwa mtetezi Akshay Bhandarkar aliyemaliza nafasi ya 20. Gitonga Nderitu wa Afrika Mashariki amemaliza wa 21 baada ya kushinda mechi 19
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment