Karim Benzema akishangilia na Eden Hazard baada ya wote kufunga katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Granada kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Bernabeu.
Benzema alifunga bao la kwanza dakika ya pili, Hazard la pili dakika ya 45 na ushei, wakati mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Luka Modric dakika ya 61 na James Rodriguez dakika ya 90 na ushei, wakati ya Granada yamefungwa na Darwin Machis kwa penalti dakika ya 69 na Domingos Duarte dakika ya 77.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment