Search This Blog

Friday, October 25, 2019

Haji Manara Awachokoza YANGA Akwea Ndege Kuelekea Mwanza...Aomba Mapokezi Mazito


Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amekwea pipa kuelekea Mwanza kwa ajili ya shughuli zake binafsi.

Manara ameamua kwenda Mwanza ambapo Yanga Jumapili hii watakuwa wana mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Pyramids ya Misri.

Licha ya Manara kuelekea jijini humo, awali alieleza kuwa baada ya Yanga kuamua kuhamishia mechi badala ya uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwenda Mwanza, naye alisema atawafuata hukohuko Mwanza.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Manara ameandika akiwaomba watu wa Mwanza wampe mapokezi kabambe.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...