Search This Blog
Wednesday, October 16, 2019
Davido Ampa Chen ya Mamilioni Msanii Mwenzake
Msanii wa Nigeria, Davido ameingia kwenye vichwa vya habari huko nchini kwao baada ya kumpatia zawadi ya cheni msanii mwenzake aitwae Zlatan.
Imeelezwa kuwa cheni hiyo yenye nembo ya 30 Bilion Gang imenunuliwa kwa pesa za Nigeria Milioni 3 Naira ambazo ni sawa na fedha za kitanzania Milioni 19.
Davido ameacha maswali yasiyokuwa na majibu kwa mashabiki huku wengine wakisema huenda Davido ana mpango wa kumsaini msanii huyo katika lebo yake.
Davido na Zlatan hapo awali walishawahi kufanya wimbo wao wa pamoja uitwao Bum Bum
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment