Search This Blog

Sunday, October 6, 2019

AY Afunguka Kuachana na Mke Wake


AY: ''Hizo stori za udaku (kuachana na mke) mimi nazitoleaje ufafanuzi, kwasababu mtu mmoja tu anaamka na kuandika anachotaka. Muda mwingine unaweza hadi kujiangalia kwenye kioo kama ni wewe kweli unayesemwa'' AMEYASEMA HAYO MSANII A.Y

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...