Kuhusu kuondoa ukomo wa mihula ya urais, napendekeza mabadiliko yafanyike na yaandikwe kabisa kwenye katiba ya kwamba anayeongezewa mda ni Rais @MagufuliJP, akimaliza miaka yake 30 tunarudi kwenye utaratibu huu wa kawaida wa miaka 10 tulionao sasa hivi :Afande Sele
#Ukomo_Urais.
Toa maoni yako kisha #SHARE
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment