Search This Blog
Sunday, September 1, 2019
Wafungwa 130 wafuhojiwa kuuawa Yemen
Wafungwa 130 wanahofiwa kuuawa katika shambulizi la anga lililoongozwa na Saudi Arabia katika gereza la Yemen.
Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu ICRC limesema, wafungwa takriban 130 wanahofiwa kuuawa katika shambulizi la anga lililoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya gereza la mkoani Dhamar, Yemen.
Kwenye taarifa yake kundi la Houthi limesema, wafungwa waliouawa ni askari wa serikali ya Yemen ambao walikamatwa kwenye mapambano.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment