Search This Blog

Thursday, September 5, 2019

Vurugu za Afrika Kusini zapelekea Fid Q Kuhairisha Show Yake Kwa Madiba (Viideo )


Mkali kutokea kwenye game ya Hip Hop Farid Kubanda a.k.a Fid Q amezungumza sababu zilizopelekea yeye kuhairisha show yake ya MTV BASE SHOW CASE aliyokuwa anatarajia kuifanyika nchini Afrika kusini September 6 2019.

Fid Q amesema vurugu zinazoendela Afrika kusini kuhusu wageni zimechangia yeye kuhairisha kwenda kufanya show nchini humo. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama zaidi alichozungumza Fid Q.

VIDEO:


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...