Search This Blog

Thursday, September 12, 2019

VIDEO: Wakurugenzi waondolewa rasmi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa


Wasimamizi wa Uchaguzi wametakiwa kuzisoma vizuri kanuni na taratibu zilizowekwa katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ambapo katibu Mkuu wa Wizara ya TAMISEMI Joseph Nyamhanga amesema kuwa kanuni hizo lazima zisomwe kwa uangalifu

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU SUBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...