Search This Blog

Tuesday, September 24, 2019

VIDEO: Mwenyekiti aliyeongoza miaka 20 agoma kugombea tena, aogomba kuondolewa kwa mawe


Mwenyekiti wa mtaa wa Idirisa Manispaa ya Kinondoni jiji Dar es salaam, Ali Kondo amesema hatogombea tena nafasi hiyo baada ya kuongoza miaka 19  huku akisema anawapisha watu wengine ili waweze kuleta fikra mpya.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...