Search This Blog

Friday, September 27, 2019

VIDEO: AHADI YANGU:Taka zawatesa ''wakandarasi wanatukimbia''


Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Mtambani kata Mzimuni jijini Dar es salaam, Bakari Kasubi amefunguka kuhusiana na ahadi zake alizotoa mwaka 2014 wakati akiomba kura kwa wananchi ili aweze kuwatumikia ambapo pia amekili swala la taka kuwa linnampa shida kwenye utekelezaji kwani wakandarasi wengi huwa wanawakimbia kufanya kazi mtaa huo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE  




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...