Search This Blog

Friday, September 27, 2019

Tunda Afuta Picha Zote za Whozu Asema "Whozu si Mpenzi Wangu"


VIDEO queen matata Bongo, Tunda Sebastian amesema amewaona watu jinsi wanavyotokwa mapovu ile mbaya baada ya kufuta picha zote za mpenzi wake, Whozu kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Akistorisha na Gazeti la Ijumaa, Tunda alisema Whozu si mpenzi wake hivyo akitaka awepo kwenye ukurasa wake atakuwepo na asipotaka hatakuwepo hivyo watu waache kumzungumzia kwa lolote.

“Whozu si mpenzi wangu, nilimuweka kwenye jamii mimi mwenyewe watu wamuone hivyo wakiona nimemuondoa, wanyamaze,” alisema Tunda ambaye siku zote mwanaume akimzingua anampiga chini.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...