Search This Blog

Monday, September 23, 2019

Rais Magufuli ampa pole Mkuu wa JWTZ kwa kufiwa na mwanae


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amekwenda Msasani Jijini Dar es Salaam kumpa pole Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (JWTZ) Jen. Venance Salvatory Mabeyo ambaye amefiwa na mwanae Nelson Venance Mabeyo (aliyekuwa Rubani) ambaye amefariki dunia leo asubuhi baada ya ndege aliyokuwa akiiendesha kupata ajali muda mfupi baada ya kuruka kutoka uMhe.

 Rais Magufuli amekwenda Msasani Jijini Dar es Salaam kumpa pole Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (JWTZ) Jen. Venance Salvatory Mabeyo ambaye amefiwa na mwanae Nelson Venance Mabeyo (aliyekuwa Rubani) ambaye amefariki dunia jana asubuhi baada ya ndege aliyokuwa akiiendesha kupata ajali muda mfupi baada ya kuruka kutoka uwanja mdogo wa ndege wa Seronera Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara.wanja mdogo wa ndege wa Seronera Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...