Search This Blog
Tuesday, September 3, 2019
Papa Francis kuaanza ziara rasmi ya kihistoria Afrika leo
Papa Francis leo anaanza ziara rasmi ya kihistoria barani Afrika na anatarajia kuzitembelea nchi za Msumbiji, Madagascar na Mauritius.
Umaskini, uhifadhi wa mazingira na ufisadi ni miongoni mwa mambo yanatarajiwa kuzungumzwa kwenye ziara ya Papa katika mataifa ya Afrika.
Wahudumu katika kanisa Katoliki wamenukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari wakisema kwamba ziara hii ambayo ni ya pili Papa Francis kuwahi kuifanya kusini mwa jangwa la Sahara Afrika, ni fursa muhimu kutoa wito mpya uliogubikwa katika barua yake ya mnamo 2015 inayuhusu kulinda mazingira.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment