Search This Blog
Monday, September 9, 2019
Nyumba ya Mchezaji aliyeshindwa kufunga Penati yapigwa mawe na mashabiki
Baadhi ya mashabiki nchini Sierra Leone wamevamia nyumba ya Nahondha wa Timu ya Taifa hilo, Umaru Bangura kukosa Penati dakika 90+4 wakati wa mechi muhimu ya kufuzu kwa kombe la dunia ambapo mechi iliisha Sierra Leon akishinda 1-0 dhidi ya Liberia (Agg 2-3)
Mashabiki walitoa hasira zao kwa kuvamia nyumba yake iliyo mji wa Freetown, ambapo waliitupia mawe kuvunja vioo na madirisha
Kama Bangura angefunga Sierra Leon ingesonga mbele.
"Ilikuwa moja ya siku mbaya sana maishani mwangu, siwezi hata kwenda nje kwa sababu sikutarajia aina hii ya uadui kwangu" aliiambia BBC wakati akiwa chumbani kwak.e
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment