Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewarahisishia wananchi kwa kuweka utaratibu mpya wa kuipata namba ya utambulisho wa Taifa (NIN) kwa njia ya mtandao.
Taarifa iliyotolewa na Nida jana Jumatano Septemba 25, 2019 kupitia kitengo cha mawasiliano na hifadhi hati ilisema namba hiyo sasa imeanza kutolewa kupitia tovuti ya mamlaka hiyo kwa muombaji kutembelea https://ift.tt/2n4yiHK
Taarifa ya Nida ilibainisha kwamba huduma hiyo itawarahisishia waombaji wa vitambulisho vya Taifa kupata NIN bila kwenda ofisi za mamlaka hiyo.
Hatua za kufuta kupata namba ya NIN
1.Bonyeza kitambulisho cha Taifa
2.Fahamu namba ya utambulisho wa Taifa
3.Andika jina lako la kwanza, jina la ukoo, tarehe ya kuzaliwa, jina la kwanza la mama na jina la mwisho la mama
4.Bonyeza Tafuta
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment