Search This Blog

Saturday, September 14, 2019

Nick Minaj Rapper wa Tatu wa Kike Duniani Kuwahi Fikia Rekodi Hii



Nicki Minaj Ni Rapper wa Tatu Na Wa Kike Pekee Kwenye Top 16 Ya Rappers Waliowahi kuingiza ngoma nyingi Zaidi kwenye Chart za Billboard Hot 100. Nicki Minaj Amefikisha maingizo 104 Kwenye Chart hizo Kubwa za Muziki Duniani.
.
Top Three Yote Imechukuliwa na Young Money, Drake anaongoza na maingizo 204 Akifuatiwa na Lil Wayne ambaye amewahi Kuingiza ngoma mara 163, Mbele ya Nicki Minaj. Hii Ndio Orodha Yote, Drake (204), Lil Wayne (163), Nick Minaj (104), Jay Z (100) , Kanye West (96), Future (89), Eminem (75), Luda Cris (56), T.I (56), Travis Scott (56), Rick Ross (49), Kendrick Lamar (48), Meek Mill (47), T-PAIN (46), Big Sean (45) na J Cole (44).

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...